October 7, 2014

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKEShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake Wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE: Alhamisi 9th Oct 2014, Jumamosi 11th Oct 2014 & Jumapili 12th October 2014


MUDA:    03:00 Asubuhi – 12:00 jioni

SABABU: 1. Kufanya maengenezo kwenye line za Kurasini, Mbagala na Tandika
          
Maeneo yatakayoathirika- Alhamisi: Maeneo yote ya  Mbagala, Kongowe, Mkuranga, Maweni factory, Kurasini kilwa road, Police, Salvation Amry, na National Stadium

Maeneo yatakayoathirika-Jumamosi; Maeneo yote ya  Mbagala, Kurasini, Kigamboni  Kongowe, and Mkuranga

Maeneo yatakayoathirika-Jumapili ;Maeneo yote ya  Yombo,Baadhi ya maeneo ya Tandika,Temeke hospitali ,kilimo vertenary, maeneo ya mikoroshini,  na baadhi ya maeneo ya Mtoni kichangani.


Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:- 022 2138352, 0712 052720,0788 499014,0736 501661 au Kituo cha miito ya simu      022 2194400 /0768 985 100


Uongozi unasikitika Kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


       Imetolewa na:- OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.
No comments:

Post a Comment