October 29, 2014

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINIShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya IJUMAA tarehe 31/10/14,  kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi 011:00 Jioni.  Sababu ni Matengenezo katika kituo cha Tegeta.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-

Bahari beach, Kondo village, Ununio, Ras Kilomoni, Budget hotel, Tegeta CCM, Chanika, Njia panda ya wazo factory, Tegeta masaiti, Tegeta Namanga, Boko Basihaya, Boko CCM, Boko Maliasili, Boko National Housing, Ndege beach, Mbweni Kijijini, nyumba 151 za Serikali/Mh.Magufuli, Bakili Muluzi school, kwa Kala mweusi, Mbweni Mpiji, Wazo quorters, Dogodogo centre, uwanja wa Nyuki, Ofisi ya Raisi flats. Kunduchi yote, Kunduchi Pwani, Kunduchi Recruitment Training School (RTS) of TPDF,Mbuyuni, MECCO, JKT machimbo, Tegeta darajani, Salasala kwa Mboma, Kilimahewa, Salasala Benaco, RTD Salasala, Salasala Kijijini, Green Acres school,Part of Kilongawima, Mbezi Africana, T-square bar, mbezi Majumba sita, Lugalo Salasala, Kinzudi, Goba, baadhi ya Maeneo  salasala,Wazo kwa Makamba,Wazo mji mpya, Shule ya Sekondari wazo, Mivumoni, Madale, madale scourt, Bunju, Twiga Cement ,Salasala magengeni. Lugalo Military base, Lugalo Hospital, Maeneo yote ya Kawe, NBC Kawe, 2000 Industries Ltd, Majembe Auction Mart Mwenge, Mbezi Tangi bovu, Mbezi Lyagunga, Mbezi Zawadi, Shoko, Mwenge Survey, Kituo cha Mabasi Mwenge. Mbezi bondeni, Mtaa wa Luvent, Mtaa wa  Almas, Mwl Nyerere school, Mbezi Maguruwe,simba rd, Barabara ya Chui, Barabara Aly Sykes, Mtaa wa Beach, BOT Mbezi ,TTCL Mbezi beach, Barabara ya Zena Kawawa, Kanisa la Katolikui Mbezi beach, Mbezi miti mirefu, uwanja wa walenga shabaha, Jangwani beach, Belinda, Giraffe, Whitesands, and Green Manner hotels, baadhi ya Maeneo  Kilongawima, NMC quorters. Mbezi juu, Mbezi samaki, Baraza la Mitihani Mbezi, St.Marys school mbezi, Mbezi garden, Ndumbwi, Mbezi kwa Msomali, Mbezi Makonde, Mbezi Machakani, Mbezi NSSF, Mbezi Masoko ya kariakoo flats, Mbezi Jogoo, Art Garlery, Agape Television, Kiwanda cha Maaza juice, Polypet , Interchik, na Chemi& Cotex.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo  022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 Au huduma kwa wateja namba 2194400.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:-         OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment