October 24, 2014

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya JUMATATU tarehe 27/10/14 naJUMATANO tarehe 29/10/14 kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi 11:00 jioni. 

SABABU:      Matengenezo, kukata miti,na kubadilsha Nguzo zilizooza.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-

Tarehe 27/10/14
Baadhi ya Maeneo Mikocheni 'B', Maeneo ya  Mh. Mwinyi, Mwalimu Nyerere, na Warioba  Baraka plaza, Regency park hotel, Maji mchafu area, Heineken, Shekiland, Msasani kwa Mamwinyi, Soko la samaki, Kunduchi yote, Kunduchi Pwani, Kunduchi Recruitment Training School (RTS)  ,Mbuyuni, MECCO, JKT machimbo, Tegeta darajani, Salasala kwa Mboma, Kilimahewa, Salasala Benaco, RTD Salasala, Salasala Kijijini, Green Acres school, Part of Kilongawima, Mbezi Africana, T-square bar, mbezi Majumba sita, Lugalo Salasala, Kinzudi. Viwanda vya Magodoro Dodoma, Kays  Hygine products, Umoja investment, Cocacola Kwanza, BIDCO, Soza plastics, Quality plastics, Konoike, Chuo Kikuu cha Tumaini, Good year, Holtan, Saba Industry, na Maeneo ya Jirani

Tarehe 29/10/14
Mbezi juu, Mbezi samaki, Baraza la Mitihani Mbezi, St.Marys school mbezi, Mbezi garden, Ndumbwi, Mbezi kwa Msomali, Mbezi Makonde, Mbezi Machakani, Mbezi NSSF, Mbezi Masoko ya kariakoo flats, Mbezi Jogoo, Art Garlery, Agape Television, Maaza juice factory ,Polypet industry, Interchik, Chemi& Cotex factories.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo  022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 au Call centre namba 2194400.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokezaImetolewa na:-         OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment