February 21, 2014

KATIZO LA UMEME KINONDONI KUSINIShirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:
SABABU: 
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA 
 Jumanne
25,February,2014
3 Asubuhi-11 Jioni                                                
Kukata miti,kubadilisha Nguzo zilizooza na Matengenezo mengine
Nyumba za serikali Mikocheni,TPDC, Rose Garden, TTCL Kijitonyama,Earth satelite,TCU, Millenium tower,Letisia tower, CRJE,Heko Kijitonyama, Mjimwema, Kijitonyama Ali maua,Kijitonyama Kisiwani,Contena bar,Queen of Sheba area,Bobs motel, Roman Catholic church Kijitonyama,Hoteli za Johannesburg, Wanyama naLion ,Bagamoyo na Bunju yote
Alhamisi
26,Februay,2014
3 Asubuhi-11 Jioni
Kukata miti,kubadilisha Nguzo zilizooza na Matengenezo mengine
Kunduchi yote,Kunduchi Pwani,Chuo cha jeshi Kunduchi,Mbuyuni,MECCO,JKT machimbo,Tegeta darajani,Salasala kwa Mboma,Kilimahewa,Salasala Benaco,RTD Salasala,Salasala Kijijini,Green Acres school,Part of Kilongawima,Mbezi Africana,T-square bar,mbezi Majumba sita,Lugalo Salasala,Kinzudi


Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo  022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 Au Call centre namba 2194400.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza

Imetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO,

                                                  TANESCO-MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment