February 25, 2014

KATIZO LA UMEME – MKOA WA ILALAShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:      Alhamisi, 27 Februari, 2014.      
 
MUDA:          Saa 4:00 Asubuhi hadi 8:00 Mchana.  
                                                 
SABABU:   Kujenga Transfoma Mbili mpya Katika Maeneo ya Ubena na Gongo la     Mboto

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Stakishari, Ukonga sabasaba, Mombasa, Gongo la mboto, Kampala University, Namera group of industries, Moshi bar area, Ulongoni, Mongo la ndege, Pugu, Kichangani, Baadhi ya maeneo ya kipunguni B na Kisarawe.

Tafadhali usiguse waya wowote uliokatika, toa taarifa TANESCO kupitia namba za simu zifuatazo:- 2138352, 0732997361; 0712052720; 0758880155; 0784 768581 au namba za huduma kwa wateja 2194400 OR 0786985100
         

Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment