February 25, 2014

Katizo la umeme mkoa wa Kinondoni KaskaziniShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:
SABABU: 
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA 
Alhamisi
27,Februay,2014
3 Asubuhi-11 Jioni
Kukata miti,kubadilisha Nguzo zilizooza na Matengenezo mengine
ITV na Radio One, Tan pack tissues, Mwenge Kijijini, Bamaga, Chuo cha Ustawi wa Jamii, Hongera bar, Tume ya Sayansi, Polisi Mabatini, Flats za Chuo cha Ustawi wa Jamii, Afrika sana, TRA Mwenge, Shule ya Msingi Mapambano, Flats za Chuo Kikuu cha Dar es salaam, mtaa wa Meeda bar, eneo la Blue bird, flats za Jeshi, Mwenge, Hospitali ya Mama Ngoma, TBC flats, mtaa wa Ikangaa, BOT flats, eneo la Kijitonyama kwa Mwarabu.


Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo  022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 Au Call centre namba 2194400.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO-MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment