February 5, 2014

KINONDONI KASKAZINI

KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:
SABABU: 
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA 
Jumanne
4,Februari,2014
3 Asubuhi-11Jioni
Kukata miti,kubadilisha Nguzo zilizooza na Matengenezo mengine.
Bagamoyo na maeneo yote ya Bunju
Alhamisi
6,Februari,2014
3 Asubuhi-11 Jioni                                               
Kukata miti,kubadilisha Nguzo zilizooza na Matengenezo mengine
Nyumba za Serikali/Mawaziri Mikocheni, TPDC,Rose Garden, TTCL Kijitonyama, Earth satelite, Tume ya vyuo vikuu Tanzania, Millenium tower, Letisia tower, CRJE,Heko Kijitonyama, Mjimwema, Kijitonyama Ali maua, Kijitonyama Kisiwani, Mh. Anna Makinda, Contena bar, Eneo la Queen of Sheba, Bobs motel, Kanisa Katoliki Kijitonyama, Johannesburg na Wanyama Lion hotels, ITV na  radio one, Kiwanda cha TanPack Tissues, Mwenge Kijijini, Bamaga, Ustawi wa jamii, Hongera Bar, Tume ya sayansi, Polisi Mabatini, Africa Sana, TRA Mwenge, Mama Ngoma Hospital, TPDC flats, BOT flats, Kijitonyama Kwa Mwarabu.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 022 2700367, 0784 768584,  0716 768584..
Au Call centre namba 2194400.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:    OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO-MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment