February 20, 2014

KATIZO LA UMEME MKOA WA KILIMANJARO WILAYA YA SAMEShirika la umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Same kuwa kutakuwa na katizo la umeme    kama ifuatavyo:

TAREHE        23.02.2014, JUMAPILI
                    
MUDA:           Saa  02.00 Asubuhi  hadi saa 10:00Jioni

SABABU:       kuzimwa kwa laini kubwa ya umeme ya 33KV Gonja pamoja na 11KV Makanya ili kubadilisha nguzo zilizooza katika laini hizo.

MAENEO YATAKAYO ATHIRIKA:
Kisiwani, Gonja, Ndungu, Kihurio, Mamba, Bombo, Mtii, Myombo, Mbaga, Mwembe, Makanya, Vudee, Chome, Suji, Tae, Saweni, Hedaru na Mabilioni

Tahadhari, usiguse wala kusogelea waya uliokatika au kuanguka chini, toa taarifa kwenye ofisi ya TANESCO    kupitia namba za simu zifuatavyo:-  0272758122, 0272755008, n0272755007 0682771310

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU

No comments:

Post a Comment