February 5, 2014

TEMEKE

KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKE
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:  Alhamisi 06th february2014
MUDA: Saa 3:00Asubuhi – 12:00jioni
SABABU: Kubadilisha nguzo zalainikubwazilizooza Yombo kilakala namalawi
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Yombo Makangarawe, Malawi, Kilakala, Uda bovu, Yombo Dovya, Njia panda ya barabara ya Mwinyi, Yombo Vituka Machimbo na maeneo yanayozunguka.
Tafadhaliusishikewayauliokatika, toataarifakupitiaDawati la dharura Mkoa wa Temeke:- 0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miitoyasimu 022 2194400 /0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:- OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU. 
                          

No comments:

Post a Comment