February 20, 2014

KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKEShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:      23/02/2014, JUMAPILI

MUDA:           3.00 Asubuhi – 12.00 Jioni

SABABU:      Kufanyaukarabatikwenyekituo cha kupozea umeme cha Chang’ombe na
kubadilisha nguzo iliiyoozaeneo Mivinjeni.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
BaadhiyamaeneoyaChang’ombe,Viwandavya barabara Nyerere Konyagi, Plasco, NMC, TP, Serengeti breweries, Singh Industries, Sokota, Mtaa wa Yombo, Mbozi Road, Chang’ombe police, Salvation Army, Keko, Robbialac Ltd, Bora, TTCL, Mansoordaya, Panasonic, TCC, Superdolly, Kiuta, Binfija, Keko Magereza, , Simba Plastic, THTL Textile, Rubber Industry, Saza road na maeneo ya jirani, Keko Machungwa, Nyumba za TRC, GAPCO, Kurasini BP, Mivinjeni, Shimo la Udongo na maeneo yanayozunguka.

Kwa dharurayeyotetoataarifakupitiaDawati la dharura Mkoa wa Temeke:- 0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miitoyasimu 022 2194400 / 0768 985 100

Uongozi unasikitikakwausumbufuwowoteutakaojitokeza


Imetolewa na:-         OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU. 
  

No comments:

Post a Comment