February 26, 2014

Katizo la umeme mkoa wa Kinondoni Kaskazini



Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:      28/02/2014

MUDA:           3 Asubuhi – 11 Jioni

SABABU:      Kukata miti,kubadilisha Nguzo zilizooza na Matengenezo mengine

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Goba, baadhi ya maeneo ya salasala, Wazo kwa Makamba, Wazo mji mpya, wazo sec, Mivumoni, Madale, Madale scourt na maeneo yanayozunguka.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo  022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 Au Call centre namba 2194400.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO - MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment