Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
linawataarifu wateja wake wa Mikoa ya Dodoma na Ilala kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
MKOA WA DODOMA:-
TAREHE: 08/02/2014; Jumamosi
SAA: 2:30 Asubuhi - 11:30 Jioni
SABABU: Kufanya
ukarabati kwenye njia kuu ya umeme ya msongo wa kilovolt 33 ya dodoma mjini.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Chang’ombe, Chinangali, Chamwino, area A, area C, Airport, Uhindini.
Hospitali
ya Mkoa, Jamatini, Uzunguni, Imagi hill, Makulu, Kilimani, Isanga,
Hospitali ya Milembe. CBE, Makole, VETA, Ofisi za Bunge,
Chadulu, Swaswa, Kisasa, area D Martin Luther, Ipagala na maeneo yote
yanayozunguka.
MKOA WA ILALA:-
TAREHE: Jumamosi, 08/02/14
MUDA: 04:00 Asubuhi – 09:00 Alasiri.
SABABU: Kumuunganisha Mteja
mpya Kwenye Njia Kuu ya Umeme.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Maeneo
yote ya Tabata, Ubungo Darajani, Makoka, Maeneo yote ya Mbezi na Baadhi
ya maeneo ya Kimara, Maeneo ya Karakata kwa Mbaga/Bi Esta,
kwa Bukuru na maeneo mengine yote yanayopata huduma ya umeme kutoka
katika njia hii kubwa ya umeme ya Segerea na Ubungo.
Tafadhali
usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo: Ofisi za
dharura Dodoma 026 2321728, 0732961270, 0732961274.
022 213 3330, 0784 768586,Ofisi za dharura Ilala, 0684 00 10 68
Ofisi za dharura Tabata na 0684 001066 Ofisi za dharura viwanda. (Call
centre numbers) 022-2194400 au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment