July 17, 2014

KATIZO LA UMEME KATIKA MKOA WA KINONDONI KUSINIShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja  wake wa mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya Jumamosi tarehe 19/07/2014.

SABABU: Matengenezo kwenye kituo kikubwa cha kupokelea umeme cha Ubungo.      

TAREHE / MUDA
ENEO
Jumamosi tarehe 19/07/2014 kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi saa 11.00 jioni.   


Sinza Uwanja wa TP, Sinza Vaticani ,Namnani Hotel, Iteba, Sinza Kijiweni,  Sinza Kumekucha,Sinza Mwika, Tandale Magharibi,Tandale Uzuri ,Manzese uzuri, Manzese Tip top, Manzese darajani, Msikiti wa Kione, Manzese Kwa Mfuga Mbwa,Manzese RC church, Ofisi za Kampuni ya simu, Urafiki Quarters, Tandale kwa  Mtogole, Tandale kwa Ally Maua, Tandale Behobeho, Tandale kwa Tumbo, Tandale Shuleni, Kanisa Katoliki Tandale,Tandale Sokoni, Tandale dispensary, Urafiki Textile,TSP Ltd Millenium business,  Sinza Lion Hotel,.Rombo Sunflower, Strabag compound, Engen petrol station,Manzese kwa Kione,  Manzese Hill Top,Tandale Chakula Bora,The whole area of Bondeni Bar, Manzese Mwembe Mkole ,Manzese Bingo, Urafiki China.

Sinza nyuma ya ukuta wa posta,Ubungo National Housing,Ubungo maziwa,Mabibo mwisho,Mabibo NIT,Mabibo bandary kavu.
Ubungo kibangu,Mabibo makuburi,Mabibo Hostel,Mandela road yote,hadi Mwananchi,Nyati,Colour printing,Mtaulo,Garage.
Tanescomakaomakuu,Ubungo mataa,Yenu bar,Kibo,kimara,Baruti,Korogwe
Kimara Resourt, Kimara Mwisho.

Maeneo yote ya Magomeni, Mburahati, Kigogo, na Mabibo.


TAHADHARI: Usiguse wala kukanyaga nyaya zilizodondoka, kwa dharura piga  Emergency simu na: 0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461, au Call centre namba 2194400 au 0768 985100.
         
                                       Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

                                                            Imetolewa na:  Eng. Gaspar T.Msigwa
                                                               Meneja wa Mkoa – Kinondoni Kusini.
                                 

No comments:

Post a Comment