July 17, 2014

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINIShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya JUMATATU tarehe 21/07/2014 na JUMANNE 22/07/2014 tarehe kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi 11:00 jioni.Sababu ni Mataengenezo,kukata miti na kubadilisha Nguzo zilizooza katika njia kubwa ya Umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-
Tarehe 21/07/14
 Bunju, Njia panda ya wazo, Tegeta ,Boko, Mbweni, Wazo quorters, Dogodogo centre, uwanja wa Nyuki, na Maeneo ya Jirani
Tarehe 22/07/14
Mbezi bondeni, Mbezi Maguruwe, BOT Mbezi ,TTCL Mbezi beach, Uwanja wa walenga shabaha, Jangwani beach, Belinda , Giraffe, Whitesands, Green Manner, baadhi ya Maeneo ya Kilongawima, Tunisia, barabara ya  Kinondoni na Msese roads, Tazara club, Stanbic bank, Kinondoni shamba, Ada estate, na Maeneo ya Jirani.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.Imetolewa na:-           OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.
 

No comments:

Post a Comment