July 8, 2014

KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKEShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu  wateja wake wa Mkoa wa  Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:       10/07/2014, 12/07/2014 na 13/07/2014

MUDA:           03:00 Asubuhi – 12:00 Jioni
           
SABABU:      
Matengenezo katika kituo cha kupoza umeme cha kurasini; kubadilisha nguzo mbovu maeneo ya changombe, kukata miti inayogusa umeme kwenye umeme wa 33kv na 11kv; kuunga mteja mpya wa Kisarawe -2 Tuangoma
                            
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
TAREHE 10, JULY 2014
MJIMWEMA, KIBADA, KIMBIJI, GEZAULOLE, KIBUGUMO, MIKWAMBE, UNGINDONI,
KIVUKONI, FULL-SHANGWE, KWA MWINGINRA AREASINCLUDING ALL BEACH

TAREHE: 12 July 2014
MAENEO YOTE YA KURASINI, KIGAMBONI, MBAGALA, TUANGOMA, KONGOWE NA MKURANGA

TAREHE: 13 July 2014
VIWANDA VYA CHANG’OMBE KWENYE 11KV PAMOJA NA KIOO, KONYAGI, SERENGETI, PLASCO, INSIGNIA, BISCUT, TCC, BORA, MANSOORDAYA, BINFIJA, TTCL NYERERE ROAD NA MAENEO YA JIRANI

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo 2138352; 0712052720; 0758880155 au namba hii ya kituo cha huduma kwa Wateja 2194400 au 0786985100.          

 Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment