July 3, 2014

KATIZO LA UMEME MKOA WA ILALAShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:     Jumamosi 05/07/2014
                    
SAA:               3:00 Asubuhi- 11:00 Jioni

SABABU:      Kukata miti, Kubadilisha nguzo zilizooza, kurekebisha maungio ya
                        nyaya za umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Ngome Upanga, Hospitali ya Tumaini, Diamond Jubilee, Shule ya sekondari Shabani Robert, Barabara ya Umoja wa Mataifa, PCCB makao makuu, Shule ya Sekondari Tambaza,   Tunakopesha tawi laUpanga, Mtaa wa Mindu, Mtaa wa Magore, Mtaa wa Maliki, baadhi ya maeneo barabara ya Ally Hassan Mwinyi, baadhi ya maeneo ya  Sea View, Mtaa wa Urambo Upanga, Kitonga, Kalenga, Swiss tower, Mtaa wa Kilombero, Longido, Isevya, Mfaume, Mazengo na Kiwanuka.

Tafadhadhli usikanyage wala kushika waya uliokatika toa taarifa Ilala kitengo cha dharura - 022 213 3330, 0784 768586, 0715 768586, 0684001066, 0684001068, 0684001071, 0222138352, and 0784768581. au namba ya huduma kwa wateja 022-2194400/ 0768 985 100.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment