July 4, 2014

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINIShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya JUMATANO tarehe 09/07/2014 na ALHAMISI tarehe 10/07/2014 kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi 11:00 jioni.  Sababu ni matengenezo ya dhalula katika njia kubwa ya Umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-
Tarehe 09/07/14
 Kiwanda cha  Magodoro Dodoma, Kays Hygine products, Cocacola Kwanza ,BIDCO, Soza plastics, Quality plastics.

Tarehe 10/07/14
Mbezi Tangi bovu, Mbezi Lyagunga, Mbezi Zawadi, Shoko, Mwenge, St. Peters, Don Bosco, Ubalozi wa Indonesia; Uwanja wa Farasi,  Josho la mbwa,  Ubalozi wa  Nigeria ,baadhi ya Maeneo Msasani, Century hotel.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.Imetolewa na:-         OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.
 

No comments:

Post a Comment