July 17, 2014

KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKE NA ILALA



Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake Wa Mkoa wa Temeke na Ilala kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

MKOA WA TEMEKE:
TAREHE:          Jumamosi   19/07/ 2014

MUDA:              03:00 Asubuhi – 12:00 jioni

SABABU:          Kubadilisha nguzo zilizooza na Kukata miti kwenye laini za umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Maeneo yote Mtoni kijichi, Kibonde maji,Kichemchem,Mbagala kuu,Kizuiani,Kipati,Mbagala Mission,Kingugi,Sabasaba,Maeneo ya chang,ombe viwandani,Nyerere road, Tandika, Yombo, Na maeneo jirani.

MKOA WA ILALA:
TAREHE:          Jumamosi 19/07/2014;
                    
SAA:                3:00 Asubuhi- 12:00 Jioni

SABABU:          Kukata miti, Kubadilisha nguzo zilizooza, kurekebisha maungio ya nyaya za umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Amana Hospital, Bank ya Baclays, nyumba za Polisi Buguruni,Buguruni sheli, Shule ya viziwi, banki ya  Buguruni, Banki ya  Akiba, mitungini  Mosque,Timayare, Bank ya Damu,Ofisi ya mkuu wa mkoa ,Mwalimu house, Msimbazi center na maeneo ya jirani.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Amana Hospital, Bank ya Baclays, nyumba za Polisi Buguruni,Buguruni sheli, Shule ya viziwi, banki ya  Buguruni, Banki ya  Akiba, mitungini  Mosque,Timayare, Bank ya Damu,Ofisi ya mkuu wa mkoa ,Mwalimu house, Msimbazi center na maeneo ya jirani.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:-
 0222138354, 0732 927515, 0732 997361, Ilala kitengo cha dharura - 022 213 3330, 0784 768586, 0715 768586, 0684001066, 0684001068, 0684001071, 0222138352, and 0784768581. au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 /
 0768 985 100

Uongozi unasikitika Kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


 Imetolewa na:  OFISI YA UHUSIANO,
                        TANESCO – MAKAO MAKUU.
 
                                                        


No comments:

Post a Comment