July 16, 2014

KATIZO LA UMEME KINONDONI KASKAZINI

                                          SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
KATIZO LA  UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya ALHAMISI tarehe 17/07/2014 kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi 11:00 jioni.  Sababu ni matengenezo ya dhalula katika njia kubwa ya Umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-
Tarehe 17/07/14
Goba, baadhi ya maeneo Salasala, Wazo kwa Makamba, Wazo mji mpya, Mivumoni,Madale.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.Imetolewa na:- OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.
 

No comments:

Post a Comment