July 14, 2014

KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKEShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataaarifu wateja wake wa Mkoa wa  Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:      16/07/2014, 17/07/2014 NA 19/07/2014
 
MUDA:           03:00Asubuhi – 12 Jioni   
                                                                                   
SABABU:      Kubadilisha nguzo zilizooza maeneo ya Feri Kigamboni.
                            
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Feri, Tungi, Machava, Magogoni, Navy jeshini, Pikoli  na maeneo jirani.

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo 2138352; 0222138352; 0788 499014,0736 501661 au namba hii ya kituo cha huduma kwa Wateja 2194400 au 0786985100.          

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment