July 14, 2014

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINIShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-


MUDA:           3:00 Asubuhi – 11:00 Jioni

SABABU:      Matengenezo, Kubadilisha Nguzo zilizooza na kukata Miti  katika njia kubwa ya Umeme.
           
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-

Tarehe 16/07/14
Kota za Bandari, NASACO flats, Kahama mining ,Manzese, Valahala village, Kota za UNDP, Baobao village, Morogoro store, IFM flats, Hosteli za Chuo kikuu cha tiba Muhimbili, Kipepeo apartments, Sea cliff court, Alexander hoteli, Mbezi Tangi bovu,Mbezi Lyagunga, Mbezi Zawadi, Mwenge, Kunduchi, Salasala, Tegeta, baadhi ya Maeneo Kilongawima, Mbezi Africana, Kinzudi.

Tarehe 17/07/14
Maeneo yote ya Mikocheni, Viwandani na Mbezi beach.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka, toa taarifa kupitia simu namba: 2700367, 0716 768584 na 0784 768584.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:-         OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.
 
No comments:

Post a Comment