August 30, 2016

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA                                                       
                                               

                      KATIZO LA UMEME MKOA WA ILALA


Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawataharifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:     Jumatano  31/08/2016
                         
MUDA    :     03:00 Asubuhi - 09:00 Alasiri

SABABU:    MATENGENEZO YA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME YA KISUKURU ILI KUBORESHA HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME.

MAENEO YATAKAYO ATHIRIKA:
 Baadhi ya  maeneo ya Bima, Kimanga, Kisukuru, Mawenzi, Bonyokwa,  Makoka pamoja na maeneo ya jirani.

TAREHE:      Alhamisi, 01/09/2016
                         
MUDA    :      02:00 Asubuhi - 11:00 Jioni

SABABU:  UKARABATI WA NJIA YA UMEME YA F32 NA F22 ENEO
                   LA MSONGOLA ILI KUBORESHA HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME.

MAENEO YATAKAYO ATHIRIKA:-
Baadhi ya maeneo ya kwa Mpemba, Matembele 2, Mwembeni, Sirari, Kivule shule, Kwa Pengo, Magole A, Kivule Mwisho, Nyang'andu, Moshi bar, Mazizini, Kwa diwani, Mkolemba,  Mombasa pamoja na maeneo ya jirani.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo:-Dawati  la Dharura Mkoa wa  Ilala: 022 213 3330, 0784 768586, 0715 76 85 86, 0715 768589  AU Kituo cha  Miito ya Simu 2194400 au 0768 985 100.
        

 Uongozi unaomba Radhi kwa Usumbufu wowote Utakaojitokeza.


Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.No comments:

Post a Comment