August 26, 2016

KATIZO LA UMEME - MKOA WA KINONDONI KUSINI.




Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:     Jumapili 28 August, 2016
 
MUDA:       02:00 Asubuhi hadi 12:00 jioni      
                                       
SABABU:    Matengenezo kwenye Kituo cha Kupozea Umeme - Ubungo 33Kv ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Baadhi ya maeneo ya barabara ya Mandela, Nida, Epza, Royal Detergent Soap,Sita Steel,TFDA,MSD,NIMR, Simba Steel, BP,  SAS, Tanroad Mandera Road, Usangu garage, Maxon Paper,  AMI, Alhushoon Investment, TSP Ltd, Tech Park,  Agro Food  Processing, Mabibo, Hostel, Jeshini,  External, Hostel, Msd, kwa Mbonde, Msikitini, Mabobo Royola, Mabibo Muleba Bar, TGNP Mabibo, Masamaki, Kibangu, Ubungo River Side, Azania Mills, Landmark Hotel, Olam, Coastal Miller, Tridea Cosmetics, Tbs, Tanesco Quarters, Wizara ya maji, Darbrew, Tbl Deport, Ubungo Bus Terminal,  Ubungo Daladala Terminal (Simu2000), Nbc, TTCL, Ubungo Kisiwani, Maziwa, Kibo, Msewe, Legho Hotel, Rombo Green View Hotel, Sinza Madukani, Sinza Mugabe, Tandale yote, Urafiki Textile, Urafiki Flats,  Manzese yote, Changanyikeni, Makongo juu,  Kimara,  Baruti, Safari Resort,  Korogwe, Kimara Mwisho, Matangini, Kirungule, Suka,Temboni,Golani, Mavurunza, Goba,Kimara King’ong’o, Makabe, Mbezi yote, Mpigi Magohe, Tegeta ‘A’ pamoja na maeneo ya jirani.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo,Kinondoni kusini dawati la dharura 0784/0715 271461 Au kituo cha miito ya simu 2194400 au 0768 985100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza. 

Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment