August 15, 2016

ZIARA YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFF. SOSPETER MUHONGO KATIKA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU YA MRADI WA UMEME VIJIJINI WILAYA YA LUSHOTO MKOANI TANGA.

Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, Mh. January Makamba akiongea juu ya swala la umeme katika jimbo lake la Ibumbuli wilayani lushoo jana baada ya waziri wa nishati na madini waziri Muhongo,alipo fanya ziara jimboni hapo

Mheshimiwa waziri wa Nishati na Madini prof. Sospeter Muhongo akiongea na wananchi wa Bumbuli wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga.

Mheshimiwa Diwani wa Tarafa ya mlola wilaya ya Lushoto bw. Shaban Shekilindi akielezea maombi ya wananchi wake wa mlolwa hususani juu ya swala zima la umeme vijijini(REA) katika Tarafa hiyo.

Wakazi wa Tarafa ya Mlola Wilayani Lushoto wakimsikiliza Mh.Waziri Prof. Sospeter Muhongo akieleza swala zima la umeme vijijini awamu ya pili kwa wakazi wa mlola

Kiongozi wa Kikundi cha Wazee wa Utamaduni cha Mlola,  Khalfan Bakari (kushoto) akitoa maoni yake mbele  ya  Waziri wa Nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo (kulia)

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) akipanda mti wa kumbukumbu katika eneo la Lukozi wilayani Lushoto mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment