August 31, 2016

TAARIFA KWA WATEJA WETU WA MKOA WA KINONDONI KUSINI                       
      Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatangazia wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kuanzia Septemba 01, 2016 malipo ya kuunganishiwa umeme wateja (Service Line) na malipo ya bili za umeme yatafanyika kupitia akaunti za kibenki.

Malipo yafanyike kupitia akaunti za Benki zifuatazo:
CRDB: TANESCO Kinondoni Kusini A/C – 01J1043011104
NBC: TANESCO Kinondoni Kusini A/C – 022103000156
STANBIC: TANESCO Kinondoni Kusini A/C – 9120000744202
NMB: TANESCO Kinondoni Kusini A/C – 22310008791
CITIBANK: TANESCO Kinondoni Kusini A/C – 100235064 kwa wateja
                    wakubwa (LARGE POWER USER)

Ufanyapo malipo fika na risiti ya malipo ya Benki ofisi za wahasibu TANESCO Kinondoni Kusini vyumba namba 13, 17, 18, 20 na 31 ili upatiwe risiti ya TANESCO.
 
NB: Fomu za kuunganishiwa umeme zitaendelea kupatikana ofisi za TANESCO na bila malipo yeyote, malipo ya kuunganishiwa ndiyo yanafanyika Benki.

Shirika linafanya maboresho hay ili kurahisisha utoaji huduma kwa wateja wake .

Imetolewa na: Ofisi ya Uhusiano

                           TANESCO Makao Makuu

No comments:

Post a Comment