August 23, 2016

UMUHIMU WA KUFANYA UCHUNGUZI WA MTANDAO WA NYAYA (WIRING) KWENYE NYUMBA ZETU

Mteja anapaswa kufanya uchunguzi wa mtandao wa nyaya ndani ya nyumba yake (Wiring) kila baada ya miaka mitano au mapema zaidi pale ambapo atahisi kunaupotevu wa umeme kwa kutumia wakandarasi waliosajiliwa

Utawapataje: Ukiuliza ofisi yeyote na TANESCO utapatiwa orodha yao na kuchagua unayemtaka au kwenye ofisi zao zilizo maeneo mbalimbali nchini.

Madhara ya kutokufanya uchunguzi: Kulipia umeme ambao haujautumia hivyo kuwa na matumizi makubwa ya umeme
TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
 


No comments:

Post a Comment