August 30, 2016

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

                                                    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA


Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo.

TAREHE: 31 Agosti (JUMATANO) na tarehe 2 Septemba, (IJUMAA) 2016.
SAA:          2:00  asubuhi hadi 11:00 jioni
SABABU: Kuzimwa kwa laini ya SALASALA, kwa ajili ya kubadili nguzo zilizooza na nyaya zilizochakaa ili kudhibiti hali ya kukatika kwa umeme mara kwa mara.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Baadhi ya maeneo ya Salasala ikiwemo kwa mkuu wa Magereza, kwa Wakurya, mwisho wa lami   Big brother, Kinzudi  pamoja na maeneo yanayozunguka.


Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo: - Dawati la dharura Mkoa wa Kinondoni Kaskazini: 022 2701602, 0784 768584, 0716 768584 au namba za kituo cha miito ya simu 2194400 na 0768 985100

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza

Imetolewa na:-         OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – KINONDONI KASKAZINI

No comments:

Post a Comment