September 26, 2014

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI JUMATATU tarehe 29/09/14, JUMANNE tarehe 30/09/14



Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya JUMATATU tarehe 29/09/14, JUMANNE tarehe 30/09/14, kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi 11:00 jioni.  Sababu ni Matengenezo, kukata miti,na kubadilsha Nguzo zilizooza.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-
Tarehe 29/09/14
Mbezi bondeni,  Mwl Nyerere school, Mbezi Maguruwe,  BOT Mbezi , TTCL Mbezi beach, Zena Kawawa rd, Roman Catholic Mbezi beach, Mbezi miti mirefu, uwanja wa walenga shabaha, Jangwani beach, Belinda, Giraffe, Whitesands,  Manner hotels, baadhi ya maeneo Kilongawima,NMC quarters, baadhi ya maeneo Mikocheni 'B', kwa Mh. Mwinyi, Mwalimu Nyerere, Warioba, Baraka plaza, Regency park hotel, Maji mchafu, Heineken, Shekiland, Msasani kwa Mamwinyi, Soko la samaki, Double Tree hotel.
Tarehe 30/09/14
Kunduchi yote,  MECCO, JKT machimbo, Tegeta darajani, Salasala kwa Mboma, Kilimahewa, Salasala Benaco, RTD Salasala, Salasala Kijijini, Green Acres school, baadhi ya maeneo ya  Kilongawima, Mbezi Africana, mbezi Majumba sita, Lugalo Salasala, Kinzudi. Goba, baadhi ya maeneo ya salasala, Wazo kwa Makamba, Wazo mji mpya, Mivumoni, Madale, madale scourt. Government houses Mikocheni, TPDC, Rose Garden, TTCL Kijitonyama, Earth satelite, Tume ya vyuo vikuu Tanzania, Millenium tower, Letisia tower, CRJE, Heko Kijitonyama, Mjimwema ,Kijitonyama Ali maua, Kijitonyama Kisiwani, Queen of Sheba, Bobs motel, Johannesburg, Wanyama na Lion hotels.  Magodoro Dodoma, Kays Hygine products, Cocacola Kwanza, BIDCO, Soza plastics, Quality plastics

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo  022 2700367, 0784 768584,  0716 768584..
Au Call centre namba 2194400.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza



Imetolewa na:-           OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.
 

No comments:

Post a Comment