September 16, 2014

TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINShirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

SABABU: Kufanya matengenezo ya line ya msongo mkubwa na kukata miti iliyochini ya line hiyo (Nordic feeder).


TAREHE & MUDA
ENEO
Jumatano - Alhamisi
17/09/2014- 18/09/2014              03:00 Asubuhi – 11:00    Jioni
Ubungo kibangu, makoka, Kimara Mwisho, Bonyokwa, stop over, Temboni, suka, kwa msuguli, Kibanda cha mkaa, mbezi mwisho, king’ong’o, makabe, Mpigi magohe, kwembe, kibamba, Malamba mawili na maeneo ya karibu.


Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo  0784271461, 0715271461,  Au Call centre number 2194400 or 0768 985100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Imetolewa na:  Ofisi ya Uhusiano
                         Tanesco-Makao Makuu

No comments:

Post a Comment