September 2, 2014

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME-MKOA WA KINONDONI KUSINI

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kutakuwa na katizo la umeme leo jumanne 02/9/2014 kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni  kwa njia za umeme za Tegeta 3,Bahari Beach 2,Msasani 1na Mwenge feeders.

SABABU ni kukata miti na kuhamisha line kupisha ujenzi wa bomba la maji.

MAENEO YATAKAYO ATHIRIKA :Tegeta, Boko, Bunju, Mbweni, Mabwepande, na baadhi ya maeneo ya Masaki, Oysterbay na Mwenge.

Uongozi wa Shirika unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Imetolewa na:    OFISI YA UHUSIANO 
                            TANESCO- MAKAO MAKUU

No comments:

Post a Comment