September 26, 2014

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKEShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake Wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE: Jumatano 01/10/ 2014

MUDA:    03:00 Asubuhi – 12:00 jioni

SABABU: 1. Kufanya maengenezo kwenye line zote za Kigamboni,Kukata miti na kubadilisha nguzo                              zilizooza
          
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA-KIGAMBONI YOTE

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:- 022 2138352, 0712 052720,0788 499014,0736 501661 au Kituo cha miito ya simu      022 2194400 /0768 985 100


Uongozi unasikitika Kwa usumbufu wowote utakaojitokeza

Imetolewa na:-           OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.
 

No comments:

Post a Comment