September 18, 2014

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME ILALA                     Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala    
                      kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE
MUDA
SABABU
MAENEO YANAYOATHILIKA
20th -21Septemba,2014

Jumamosi-Jumapili
09:00-18:00pm
Kuamisha line kubwa wa 11KV ili kupisha ujenzi wa 132KV inayotoka Ubungo kwenda Gongolamboto
Alhamza, Buguruni Mnyamani, Saafa Plastic, Murzah Soap, Metro Plastic, Omary Packging, Jumbe Packaging, Kiwalani Kigilagila, kwa Dingubita, Beach, kwa Gude

21st  September,2014

Jumapili
09:00-18:00pm
Kufanya matengenezo,Kubadilisha Nguzo zilizooza,Kukata Matawi ya Miti na Kukaza Nyaya katika Njia Kubwa ya Umeme ya C2 na C8

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Viwanja vya Gymkhana,Hoteli ya Serena,Hospitali ya Agakhani,Hoteli ya Protea,barabara ya All Hassan Mwinyi baadhi ya maeneo yaliyoko pembezoni mwa barabara ya Alkhanina,Las Vegas Casino,maeneo ya mtaa wa Ruhinda,Mtaa wa Vijibweni,baadhi ya maeneo ya mtaa wa Ohio,maeneo ya Sea view,Makao Makuu ya benki ya Exim na maeneo yanayouzunguka.            Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:
             022 213 3330,  0784 768586, 0715 768586. Au Call centre namba
            022-          2194400/0768 985 100
            Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


            Imetolewa na:  Ofisi ya Uhusiano,
                           Tanesco-Makao Makuu

No comments:

Post a Comment