September 16, 2014

TAARIFA YA KATIZO LA UMEMEShirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa  Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

SIKU YA KATIZO: 
           
Jumanne  tarehe, 16 september, 2014; saa  03:00 asubuhi - 12:00 jioni

Alhamisi,  tarehe, 18 september, 2014; saa  03:00 asubuhi - 12:00 jioni

Jumamosi, tarehe, 20 September, 2014 saa 03:00 asubuhi hadi 12:00jioni
                                                                                               
SABABU:      
MATENGENEZO KATIKA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA KIGAMBONI, KUBADILISHA NGUZO MBOVU MAENEO YAKIGAMBONI, KUKATA MITI INAYOGUSA UMEME KWENYE LAINI YA 33KV KIGAMBONI, NA KUHAMISHA NGUZO NA KUPISHA UJENZI WA BARABARA TAZARA.
                            
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:

TAREHE: 16 NA 18 SEPTEMBER 2014

KISIWANI, VIJIBWENI, KIDONGO CHEKUNDU NA SHIMO LA UDONGO.

TAREHE: 20 SEPTEMBER 2014

MAENEO YOTE YA KIGAMBONI, VIWANDA VYOTE VYA CHANG,OMBE NA BAADHI YA MAENEO YA TANDIKA.


 Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo 2138352; 0712052720; 0758880155 au namba hii ya kituo cha huduma kwa Wateja 2194400 au 0786985100.          

 Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:                        Ofisi ya Uhusiano
                                                Tanesco-Makao Makuu

No comments:

Post a Comment