September 4, 2014

TAARIFA KWA WATEJA WA KIJITONYAMA, MIKOCHENI NA MSASANI

Kutokana na tatizo la kuungua kwa kifaa cha kukata umeme (breaker) ya msongo wa kilovoti 11 kwenye kituo cha Makumbusho wateja wetu wa Mikocheni,Kijitonyama na Msasani hawana umeme kwa saasa.
 Tatizo si kubwa mafundi wetu waashughulikia utarejea baada ya muda mfupi,tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza.

No comments:

Post a Comment