September 2, 2014

KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKEShirika la Umeme Tanzania (TANESCO)  linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa  Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:         Alhamisi & Jumamosi tarehe 4 & 6 Sept. 2014
          
MUDA:           03:00 Asubuhi – hadi – 12:00 jioni
                                                                                               
SABABU:       Kubadili nguzo zilizooza, kukata miti inayofikia umeme, kurekebisha transformer
zenye shida; kufunga LBS mbagala

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Sehemu ya Kigamboni:- Kigamboni, Tuangoma, Kimbiji, Mji mwema, Kibada, Geza ulole, kibugumo, Maweni, NSSF, mwongozo na maeneo ya jirani

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo 2138352, 0732997361; 0784768581; 0712052720; 0758880155.au namba hii ya kituo cha huduma kwa Wateja 2194400. Au 0786985100          

 Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.Imetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.                  

No comments:

Post a Comment