August 14, 2014

KATIZO LA UMEME MIKOA YA TEMEKE NA KINONDONI KASKAZINIShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mikoa ya  Temeke na Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:      Jumamosi tarehe 16 Agost 2014
          
MUDA            :           03:00 Asubuhi – hadi – 12:00 jioni
                                                                                               
SABABU:     Kubadili nguzo zilizooza, kukata miti inayofikia umeme, kurekebisha
transformer zenye shida na kufanya matengenezo katika kituo cha kupoza
umeme cha Mbezi Beach.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA MKOA WA TEMEKE:-
Sehemu ya Kigamboni:- Ferry, Magogoni, tungi na maeneo ya jirani

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA  MKOA WA KINONDONI KASKAZINI:-
Maeneo yote ya Mbezi beach, Lugalo, Mwenge, Packers, Kunduchi na Kawe

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo 2138352, 0732997361; 0784768581; 0712052720; 0758880155, Kinondoni Kaskazini dawati la dharura 022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 au namba hii ya kituo cha huduma kwa Wateja 2194400 au 0786985100.          

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment