August 11, 2014

MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

KATIZO LA  UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatvyo:-

SABABU: Kuhamisha nguzo kupisha ujenzi wa barabara kutoka Mwenye mpaka Moroko

MUDA: Saa 3:00 Asubuhi – 11:00 Jioni

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-

TAREHE 13/08/14
Maeneo yote ya Mikocheni,Viwandani, Mwenge, Kijitonyama, Mbezi Tangi bovu, Mbezi Lyagunga, na Mbezi Zawadi.

TAREHE 14/08/14
Bunju, Tegeta CCM, Chanika, Njia panda ya wazo factory, Tegeta masaiti, Tegeta Namanga, Boko, Ndege beach, Mbweni, Bakili Muluzi school, kwa Kala mweusi, Wazo quorters, na Dogodogo centre.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka, toa taarifa kupitia simu namba: 2700367, 0716 768584 na 0784 768584 au piga namba za miito ya dharura kwa wateja  022 2194400 na0768 985 100.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.Imetolewa na:- OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.
 

No comments:

Post a Comment