August 26, 2014

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINIShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:      28/08/2014, Alhamisi

MUDA:           3:00 asubuhi – 11:00 jioni

SABABU:      Matengenezo, kukata miti na kubadilisha Nguzo zilizooza

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-
Sea Cliff hotel, TPDF Masaki mwisho, Government quorters Masaki, Coral beach, Coral lane, Yatch club, Slip way, Trauma hospital, Mtaa wa Mahando, Kinondoni 'A & B', baadhi ya maeneo Kinondoni block 41, Biafra, Mtaa wa  Kanazi ,Togo , Wibu, Open University of Tanzania, Ufipa, Kinondoni Moscow, Livingstone, Hananasifu, Mkwajuni, Kinondoni studio, Manyanya, Chuo Kikuu cha  Tumaini, Kambangwa secondary na maeneo ya jirani.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka, toa taarifa kupitia simu namba: 2700367, 0716 768584 na 0784 768584

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.Imetolewa na:-         OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.
 

No comments:

Post a Comment