August 21, 2014

KATIZO LA UMEME – MIKOA YA TEMEKE NA KINONDONI KUSINIShirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa  Temeke na Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:     Jumapili tarehe 24 Agosti 2014
          
MUDA            :           03:00 Asubuhi – hadi – 12:00 jioni

MKOA WA TEMEKE:
                                                                                               
SABABU:      Kubadili nguzo zilizooza, kukata miti inayofikia umeme, kurekebisha
transformer zenye shida.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Sehemu ya Kigamboni:- Ferry, Magogoni, tungi na maeneo ya jirani

MKOA WA KINONDONI KUSINI:

SABABU: Kufanya matengenezo Katika kituo cha kupozea umeme cha Magomeni

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Magomeni,Tandale,Kigogo,Mburahati,Shekilango,Sinza,Manzese,Urafiki Textile,Tanzania Steel Park,Millenium Business Park, Strabarg na maeneo ya karibu.

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo Dawati ladharula Temeke: 2138352, 0732997361; 0784768581; 0712052720; 0758880155, Dawati la dharula Kinondoni: 0784/0715-271461 au namba hii ya kituo cha huduma kwa Wateja 2194400. Au 0786985100          

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment