August 15, 2014

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINIShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

MUDA:           Saa 3:00 Asubuhi – 11:00 Jioni

SABABU:       Matengenezo, kukata miti na kubadilisha nguzo zilizooza

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-

TAREHE 19/08/14
Bunju, Tegeta CCM,Chanika,Njia panda ya wazo , Tegeta masaiti, Tegeta Namanga, Boko, Ndege beach, Mbweni, Wazo quorters, Dogodogo centre, uwanja wa Nyuki, Mwananyamala 'A' & 'B',  Makumbusho Sokoni, Shule ya msingi Ukombozi, Garden Police post.

TAREHE 20/08/14
Mikocheni 'A', Ofisi ya Raisi Makumbusho, Chuo cha Uandishi wa habari, Mlimani TV, Msasani Kisiwani, Shoppers plaza, TMJ hospital, Mayfair plaza, Bonde la Mpunga, Tanesco quorters, Zantel, Msasani Makangira , Regent estate, Kairuki hospital

TAREHE 21/08/14
Mikocheni, Industrial, Sinza, Kijitonyama, mwenge, Mbezi Tangi bovu, Mbezi Lyagunga, na Mbezi Zawadi, Bunju, Tegeta CCM,Chanika,Njia panda ya wazo factory, Tegeta masaiti, Tegeta Namanga, Boko, Ndege beach, Mbweni, Wazo quorters, Dogodogo centre, uwanja wa Nyuki.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 au namba za huduma kwa wateja 2194400.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokezaImetolewa na:-           OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.
 

No comments:

Post a Comment