August 4, 2014

KATIZO LA UMEME – MKOA WA TEMEKEShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake Wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:          Jumatano   06/07/ 2014
           
MUDA:              03:00 Asubuhi – 12:00 jioni

SABABU:          Kubadilisha nguzo zilizooza maeneo ya Chang’ombe na Feri Kigamboni.
              
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Maeneo yote ya Quiam steel, Maduka Mawili, Manispaa ya Temeke, Feri, Tungi, Machava, Magogoni, Navy jeshini, Pikoli na maeneo jirani.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:-
 0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miito ya simu 022 2194400/0768 985 100

Uongozi unasikitika Kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


 Imetolewa na:           OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU. 

No comments:

Post a Comment