August 15, 2014

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA ILALAShirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:     17/08/2014; Jumapili
                    
SAA:               3:00 Asubuhi- 11:00 Jioni

SABABU: MAREKEBISHO YA BARABARA KATIKA MAKUTANO YA TAZARA


MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:

Maeneo ya Viwanda

Metro Steel, A One product, Michael group, Pepsi, Tanzania brush, Azania, Diamond D Motors, Bettle motors, Sadolin, Five star Printers, Tazara police, Azania Soring, Banco, Sila Africa, Commercial Priner, UBA bank, DHL Barabara ya Nyerere, Bajaji, Namtenk, NBC.International Air,Tazara, Hughes Tower,Simba Net, Sofia House, Prince Wire, Incar, Bp, Airport, Rainbow, Bakhresa ice cream, Twiga ,Kiwalani Bombom, Kijiwe Samli, Kialani minazi mirefu, Kiwalani kwa binti musa.

Maeneo ya Chang’ombe

ALAF, DPI, Simba, Kamal Steel, Steel master, Bakhressa, Cello ltd, TCC.TCCL, Kiwanda cha Bora, Mansour Day, Bin fija, Kiuta, National Stadium, Sokota na  Serengeti breweries.

 

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:
Ilala Emergency Desk- 022 213 3330, 0784 768586, 0715 768586, 0684001066, 0684001068, 0684001071, 0222138352, and 0784768581. Or Call centre numbers 022-2194400/ 0768 985 100.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokezaImetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO
                                    TANESCO MAKOA MAKUU
        


No comments:

Post a Comment