August 1, 2014

MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

KATIZO LA  UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

MUDA: 03:00 Asubuhi – 11:00 Jioni

SABABU: Matengenezo, kubadilisha nguzo zilizooza na kukata miti katika njia kubwa ya umeme.


MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-

TAREHE 04/08/14  NA  07/08/2014
Bunju, Tegeta CCM,Chanika, Njia panda ya Kiwanda cha wazo, Tegeta masaiti, Tegeta Namanga, Boko, Ndege beach, Mbweni Kijijini, nyumba 151 za Serikali ,Shule ya Bakili Muluzi,  Mbweni Mpiji,Wazo quorters, Dogodogo centre, uwanja wa Nyuki, Ofisi ya Raisi flats.

TAREHE 06/08/14
Maeneo yote ya Mikocheni, Viwandani, Bunju, Tegeta CCM,Chanika, Njia panda ya Kiwanda cha wazo, Tegeta masaiti, Tegeta Namanga, Boko, Ndege beach, Mbweni Kijijini, nyumba 151 za Serikali ,Shule ya Bakili Muluzi,  Mbweni Mpiji,Wazo quorters, Dogodogo centre, uwanja wa Nyuki, Ofisi ya Raisi flats

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka, toa taarifa kupitia simu namba: 2700367, 0716 768584 na 0784 768584 au piga namba za miito ya dharura kwa wateja  022 2194400 na0768 985 100.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.



Imetolewa na:- OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.
 

No comments:

Post a Comment