August 27, 2014

TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINIShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:                  Jumamosi, 30/08/2014

MUDA:                       03:00 asubuhi – 6:00 mchana

SABABU:                  Kuunganisha mfumo wa mawasiliano.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Eneo lote la  Tandale, Manzese, Mabibo, Mburahati, Magomeni DDC na Magomeni Popobawa, Sinza Mwika, Palestina, Makaburini, Urafiki Textile, Millenium Business Park,
Tanzania Steel Pipe na Maeneo ya Karibu.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo  0784/0715-271461, Kituo cha miito 2194400 AU0768- 985100.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.
No comments:

Post a Comment