August 13, 2014

ZIARA YA MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI SHIRIKA L UMEME TANESCO

Mkurugenzi wa Habari Serikalini Bw. Assah Mwambene akisisitiza jambo, kushoto ni Kaimu Meneja Uhusiano Tanesco Bw.Adrian Severin.

Kaimu Meneja Uhusiano Tanesco Bw.Adrian Severin akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Habari Serikalini Bw. Assah Mwambene na wafanyakazi wa uhusiano (hawapo pichani)

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Serikalini Bw. Assah Mwambene akibadilishana mawazo na Kaimu Meneja Uhusiano Tanesco Bw. Adrian Severin.

Mkurugenzi wa Habari Maelezo Bw. Assah Mwambene, wafanyakazi wa Tanesco wakifuatilia maada inayotolewa na Kaimu Meneja Uhusiano Bw. Adrian Severin (hayupo pichani)

No comments:

Post a Comment