August 20, 2014

KATIZO LA UMEME MKOA WA ILALAShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:     23/8/2014
                    
SAA:               3:00 Asubuhi – 12 Jioni

SABABU:      Kufanya Matengenezo kwenye kituo cha kupoozea umeme cha railways.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Clock tower, Mtaa wa india, Jmall ,  Barabara za Morogoro , Samora ,Mansfield, NSSF Water front,Bandari, Dawasco, Polisi Makao makuu, Police traffiki, TRA ,Maeneo yote ya Kamata,  Mitaa ya Algeria , Makamba ,Gerezani ,Lugoda  Muheza,Mnazi mmoja, Sophia kawawa , Barabara ya uhuru, Mitaa ya Agrrey  Kidongo chekundu, na  Kipata   na Maeneo yote ya jirani.

TAREHE:     24/8/2014
 
SAA:               3:00 Asubuhi - 12:00 Jioni

SABABU:      Kufanya Matengenezo kwenye njia ya kusafirishia umeme ya msongo wa kilovolt 33.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Hospital ya Regency, Barabara ya Ghana, Barabara ya  Ally Hassan  Mwinyi, PPF Tower, Benjamin mkapa tower,Tanesco Ilala, Wizara ya Nishat na madini, Ikulu, WAMA, Hospitali ya ocean Road, Ferry ,Ministry of health, Prime Minister’s Barabara za Sokoine , Mirambo, Luthuli , Samora , Ghana , Chimara ,Maeneo yote ya katikati ya mji na maeneo yote ya jirani.
 
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:022 213 3330, 0784 768586, 0715 768586. au Call centre namba 2194400  au 0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.                          

No comments:

Post a Comment