September 25, 2013

DODOMA



TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA DODOMA


Shirika la umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa mkoa wa Dodoma kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya IJUMAA tarehe 27,septemba 2013 kuanzia saa saa 03:00 asubuhi hadi saa 11:00 Jioni.

Sababu ni kubadilisha nguzo zilizochakaa.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:-
Hospitali ya Ntyuka DCMC, Kiwanda cha Maji ‘’AHSANTE’’  Chuo Kikuu Dodoma, Maeneo ya Kisasa, Nzuguni, Nane nane,Ihumwa Jeshini (JWTZ), Ihumwa Kijijini, Kijiji cha Hombolo, Mtumba, Vikonje, Chamwino Ikulu, Buigiri, Chinangali I, Chalinze, Chilonwa,Manchali, Maeneo yote  ya Wilaya ya Kongwa, Gairo na Wilaya ya Mpwapwa.


TAFADHALI USIGUSE WALA KUKANYAGA NYAYA ZILIZOANGUKA, toa taarifa kupitia namba zifuatazo Dodoma Regional Emergency desk: 026 2321728, and 0732961274. au Call centre numbers 2194400 or 0768 985 100.

Tunasikitika sana kwa usumbufu utakaojitokeza.



Imetolewa na    Ofisi ya Uhusiano.
                          TANESCO – Makao Makuu.

No comments:

Post a Comment