September 3, 2013

TEMEKE REGION

TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED

POWER INTERRUPTION NOTICE – TEMEKE REGION

The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) regrets to inform its esteemed customers in Temeke region that power supply will be interrupted as follow: -
DATE: 5TH OF SEPTEMBER 2013.
                         
TIME:   From 09:00 am - 18:00 pm
REASON:     Preventive maintenance in 11Kv line.
                   
AFFECTED AREAS:-
Industry of Lami, Biashara Club Kurasini, Kona kali, Highway, Keko Akida, Keko Machungwa, Mivinjeni, Shimo la Udongo, Bandari Qtrs, Chuo Kikuu cha Polisi, Polisi Kilwa Rd, Polisi Farasi and surrounding areas.
PLEASE DON’T TOUCH ANY BROKEN CONDUCTOR.   In case of emergency please call Temeke Regional Emergency desk: 0222138354/2, 0732 997361, 0712 052720. Or Call centre numbers 2194400 or 0768 985 100
Any inconveniences are highly regretted.
Issued by:    PUBLIC RELATIONS OFFICE,
TANESCO – HEAD OFFICE.
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKE
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:    5/9/2013
SAA:  3:00 Asubuhi - 12:00 Jioni
SABABU: Kufanya matengeezo ya kawaida kwenye laini ya Kilovolti 11.
                   
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:     
Kiwanda cha Lami, Biashara Club Kurasini, Kona kali, Highway, Keko Akida, Keko Machungwa, Mivinjeni, Shimo la Udongo, Bandari Qtrs, Chuo Kikuu cha Polisi, Polisi Kilwa Rd, Polisi Farasi na maeneo ya jirani.
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo: 022 2138354/2, 0732 997361, 0758 880155. au Call centre namba 2194400  au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:   OFISI YA UHUSIANO,
     TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment