TAREHE: Jumamosi, 28/09/2013.
SAA: 12:30
Asubuhi- 12:30 Jioni
SABABU: Kufanya Marekebisho ya Kiufundi katika ‘Transformer’
la 45MVA, 132/33kV na Kuongeza uwezo wa
‘Busbar’ za msongo wa 33kV ili Kuwasha Transfoma Kubwa la 90 MVA Katika Kituo
cha Kusambaza Umeme cha Kipawa
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Airport Terminal 1, Julius Nyerere International Airport, Prince
Ware Industry, baadhi ya maeneo ya Kiwalani, Part of Nyerere Road, Kipawa,
Majumba-Sita, Sitakishari, Karakata, PEPSI, Airwing JWTZ, Banana, SIDO,
Murzah Oil, East African Cable, Metro Steel, Metro Plastic, Omar Packaging,
Bakhressa (Kipawa), Azam Ice cream (Vingunguti), Simba Net, Tanzania
Brush, DHL - Banda la Ngozinamaeneojirani, TAZARA Station na Pampu ya Maji ya JNIA. NAMERA,
KIU, AVIATION HOUSE - Banana, MagerezaUkonga, Gongolamboto, Kipunguni, Kivule,
Mwanagati, Kinyantira, Majohe, Chanika, Kibeberu, Mongolandege, Pugu, Minaki,
Kisarawe na maeneo jirani. Eneolote la Tabata pamoja na Kinyerezi, Segerea,
Bunyokwa, Kisukuru, Bangulo na maeneo jirani.
Mengineni; Eneolote la Chang'ombe, Temeke Hospital, TBC, baadhi ya
maeneo yaTemeke, Temeke Mikoroshini, Vertenary, ‘KilimonaUvuvi’, maeneo yote ya
Tandika, Mtoni-Kichangani, Mtoni -mashine ya maji, Yombo yote, pamoja na Yombo-buza,
Vituka, Kwa-Limboa, Davis Corner, Kwa Lulenge na maeneo jirani.
Tafadhali usishike waya uliokatika
toa taarifa kupitiasimu zifuatazo:
022
213 3330, 0784 768586, 0715 768586.au Call centrenamba 022- 2194400/0768 985 100
Uongozi
unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na: Ofisi ya Uhusiano
Tanesco-Makuu
No comments:
Post a Comment