September 18, 2013

TEMEKE

           TAARIFA YA KATIZO LA UMEME-TEMEKE
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: 20/09/ 2013, Ijumaa 
MUDA:    2:00 Asubuhi – 8:00 mchana
SABABU: Kupandisha kiwango cha volteji kwenye Transifoma za Mbagala
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA: Charambe, Majimatitu, Kimbangulile, Chamazi, Mbande, Msongola, Saku, Viwandani, Kiburugwa, Kingugi, Nzasa, Kilungule, Kizuiani, Kwa Manganya, Sabasaba, Bugudadi, Mtoni, Kizinga, Kibondemaji, Dar cement, Mbagala jeshini, Kijichi, Mbagalaga kuu, Mission, KTM, Miande, Kongowe na Mkuranga.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:-
0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 /
0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na : 
              Ofisi ya Uhusiano
              Tanesco Makao Makuu

No comments:

Post a Comment